Swahili-English verbs: Lesson Two

0
125
  1. Kubeba: to carry

Eg: Ninaweza kubeba begi yako.

I can carry your bag.

  1. Kuoa: to marry

Eg: Umeoa  bwana?

     Are married Sir?

  1. Kuvaa: to wear, put on

Eg: Vaa kofia   

 Wear a hat

  1. Kuonja: to taste

Eg: Naweza kuonja pombe hii?

      Can I taste this beer?

  1. Kupiga simu: to phone

Kupigia simu: to phone someone

Eg: Nitakupigia simu baadaye.

       I will phone you later.

  1. Kusali: to pray

Eg: Unasali mara tano kwa siku?

    Do you pray five times a day?

  1. Kusafisha : to clean

Eg: Ninasafisha sahani.

       I am cleaning the plates.

8.Kuamua:to decide

Eg : Tumeamua kwenda.

         We decided to go.

9.Kugusa: to touch

Eg: Nimemgusa machoni.

I touched him in the eyes.

  1. Kushiriki: to participate

Eg: Kila mtu anataka kushiriki.

Everybody wants to participate.

  1. kuumwa: to be in pain

Eg: Ninaumwa kidogo.

I am in a little pain.

  1. Kumaliza: to finish

Eg: Nimemaliza zoezi

I finished an exercise.

  1. Kuweza: to be able, can

Eg: Unaweza kunisaidia?                   

Can you help me?

  1. Kupenda: to like, to love

Eg: Unapenda ndizi?

     Do you like banana?

  1. Kutakiwa: to have to, must

Eg: Unatakiwa kujaribu.

      You must try. 

  1. Kuna kiu: to be thirsty

Eg: Nina kiu.

I am thirsty.

  1. Kushiba: to be satisfied, full( after eating )

Eg: Nimeshiba. Asante.

 I am full. Thank you.

 18.Kuchoka: to be tired

Eg: Umechoka?

 Are you tired?

  1. Kuogopa : to be afraid

Eg: Ninaogopa ajali.

 I am afraid of accident.

  1. Kuzoea: to be used to

Eg: Ninazoea joto.

      I am used to the heat.

  1. Kuchukia: to hate, dislike

Eg: Ninachukia sana desturi zako.

 I dislike very much your behavior.

  1. Kusikia: to hear

Eg: Nilisikia habari zake.

     I heard his news.  

  1. Kuona: to see

Eg: tutaonana kesho:

We will meet tomorrow.

  1. Kusaidia: to help

Eg: Unaweza kutusaidia?

     Can you help us?

  1. Kusubiri: to wait

Eg: Nimesubiri  muda mrefu.   

 I have waited for a longtime.

Share This

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here